Nyaga mawalla biography definition
Mawalla: Mfanyabiashara aliyewapenda Wazungu kuliko Watanzania wenzake
Mwanasheria na mmoja wa wafanyabiashara Watanzania vijana, Nyaga Mawalla (pichani chini), amefariki dunia.
Very touch orbutuary MSG - R.I.P Advocate Nyaga Mawalla
Amefariki dunia akiwa bado kijana mwenye umri mdogo, lakini mwenye mafanikio makubwa kibiashara.
Nyaga amemaliza safari ya hapa duniani. Hakuna shaka yoyote kwamba baada ya yeye, wengine tunaomjadili sasa tutamfuata, maana hata maandiko matakatifu yamesema kila nafsi itaonja mauti (kulla nafsin dhaaikatil maut).
Kwenye makala hii naomba wasomaji waniwie radhi kwa haya nitakayoyasema.
Kabla sijaendelea, niseme wazi kwamba nimesikitishwa mno kwa kifo cha kijana huyu.
Mazishi ya Advocate Nyaga Mawalla utata mtupu | Page 2 ...
Ndugu zangu, tumekuwa na kawaida ya kuwamwagia sifa njema wenzetu waliotangulia mbele ya haki. Mara zote sifa hizo zimetolewa hata kama waliofariki dunia walikuwa majambazi, wauaji, wezi au watu wenye roho mbaya. Nyaga hakuwa na sifa hizo zote, lakini nashawishika kusema hakuwa mzalendo wa kweli. Alijipendelea kiasi cha kupoteza sifa ya uza TUJIENZI.blogspot: NYAGA MAWALLA ADVISES NEW ADVOCATES LOS