Nyaga mawalla biography definition
Mawalla: Mfanyabiashara aliyewapenda Wazungu kuliko Watanzania wenzakeMwanasheria na mmoja wa wafanyabiashara Watanzania vijana, Nyaga Mawalla (pichani chini), amefariki dunia. Amefariki dunia akiwa bado kijana mwenye umri mdogo, lakini mwenye mafanikio makubwa kibiashara.